Mwanamke adungwa kisu mara 6 kichwani na kuuawa Kayole

  • | Citizen TV
    5,275 views

    Familia moja huko Kayole inatafuta haki baada ya jamaa yao kuuwawa kinyama na jamaa anayedaiwa kuwa mpenzi wake. Marehemu Sharon Cate alidungwa kisu kichwani mara kadhaa na kufariki mbele ya mwanawe baada ya ugomvi.