Mikasa mitatu tofauti imeziacha familia katika hali ya mshtuko na jamii zikiomboleza. Katika kaunti ya Kisii, moto uliozuka alfajiri ulisababisha kifo cha mwanamke mmoja katika kile polisi wanasema ni kisa cha kushukiwa. Na huko Tana River, wakazi wenye ghadhabu walimpiga kitutu mshukiwa wa wizi wa bodaboda baada ya kumshambulia mwanakijiji. Na katika kaunti ya Kakamega, biwi la simanzi lilighubika familia moja baada ya mama na mwanawe kufa maji wakivuka daraja lililofurika maji. Ben Chumba na taarifa kamili.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive