Mwanamke ajisalimisha katika kituo cha Polisi baada ya kumchinja mumewe

  • | West TV
    1,272 views
    Wingu la simanzi limetanda katika kijiji cha Lunywenywe kata ya Lwandeti wilayani Matete katika kaunti ya Kakamega baada ya mwanamke mmoja kumuua mumewe kwa kumchinja na kisha kuifungia maiti yake ndani ya nyumba kabla ya kujiwasilisha katika kituo cha polisi cha Malava.