Mwanamke anauguza majeraha kwenye mikono na miguu

  • | Citizen TV
    259 views

    Mwanamke mmoja anauguza majeraha mikononi na miguuni baada ya mumewekudaiwa kumpa dawa za kulala na kisha kumfunga kwa kamba. Yusra mbarak anadai kuwa mumewe alimfanyia unyama huo na kisha kutoweka na watoto wake watatu. Inadaiwa kuwa mumewe alipiga simu kwa jamaa za mama huyo siku mbili baadaye kuwaeleza wakamchukue nyumbani