Mwanamke anayejishughulisha na biashara ya kutengeneza na kuuza majeneza

  • | West TV
    83 views
    Biashara ya kutengeneza majeneza ni mojawapo ya biashara zinazotazamiwa kuwa na dhana mbali mbali haswa zikihusisha wanawake katika jamii ya kiafrika, mila na tamaduni zikiwafungia wengi wa wanawake kujihusisha na biashara hii. Naiti vihenda, alikiuka dhana hii na kujiunga na biashara ya kutengeneza majeneza na anasimulia changamoto na mafanikio yake .