Skip to main content
Skip to main content

Mwanamke apigwa Narok, mshukiwa akamatwa wengine wanne watafutwa

  • | Citizen TV
    11,124 views
    Duration: 2:24
    Mshukiwa mmoja anayetuhumiwa kuwa miongoni mwa kundi la watu walionaswa kwenye video wakimpiga vibaya mwanamke huko nkareta, narok amekamatwa. Ni tukio ambalo limeibua hasira baada ya video hiyo kusambaa mitandaoni ikimwonyesha millicent semeita rotiken, akilia kw auchungu huku akidhulumiwa na wanaume wanaodaiwa kuwa ndugu zake. Inadaiwa walimpiga kwasababu alikataa kurejea kwa mumewe wa zamani.