Mwanamke Bomba | Irene Mwai avishwa taji la Mwanamke Bomba kwa juhudi zake

  • | Citizen TV
    576 views

    Huku visa vya watoto wachanga kutupwa vikiongezeka katika kaunti ya Busia, Irene Mwai amekuwa mwokozi wao kwa kuwapa matumaini kwa kuwahifadhi huko Matayos viungani mwa mji wa Busia. Mama huyo mwenye mtoto mmoja ambaye ni mzaliwa wa Nyeri anasema upendo wake wa kulea watoto ndio unampa nguvu ya kuishi ya watoto hao kwani Changamoto anazopitia ni nyingi.