Mwanamke Bomba | Mshauri wa wasichana na wanawake kukabili msongo wa mawazo

  • | Citizen TV
    361 views

    Tatizo la msongo wa mawazo miongoni mwa wajane , linawahangaisha kina mama wengi katika kaunti ya Samburu. Hali hiyo imemfanya Miriam Chege, ambaye amebobea katika taaluma ya uuguzi, kujitolea kuwapa ushauri nasaha wanawake hao pamoja na wasichana walioko kwenye hatari ya kukeketwa au kuozwa wakiwa na umri mdogo.