Mwanamke Bomba | Safari ya ufanisi ya Hanifa Badi Mwajirani

  • | Citizen TV
    547 views

    Kwa takriban miaka 9 alikuwa mtetezi WA wengi haswa wanaopitia dhulma katika jamii ailpokuwa akihudumu katika kikosi cha polisi. Kwa sasa anawakilisha wakaazi WA wadi ya ramisi Kati Bunge la kaunti ya Kwale. Hii ni baadaya ya kuibuka mshindi kwenye kinyang'anyiro kikali na kivunja rekodi ya kuwa mwanamke WA kwanza kuchaguliwa kuwa mwakilishi wadi katika kaunti ya Kwale.