| Mwanamke Bomba | Samia Mohamed huongoza vikao vya amani mpeketoni

  • | Citizen TV
    336 views

    Ni miaka kumi na moja tangu tukio la kigaidi litokee katika eneo la Mpeketoni, tukio ambalo lilisababisha mtafaruku mkubwa kati ya jamii zinazoishi eneo hilo na kupelekea kukosa uaminifu kati yao. Hapa ndipo Samia Mohamed, mkaazi wa eneno hilo, alipoamua kujitoa kimasomaso na kuunganisha jamii zinazoishi eneo hilo kwa kuweka vikao vya Amani pamoja na kuandaa tamasha la kitamaduni ambalo huwaleta pamoja jamii hizo kwa minajili ya kujenga uwiano kati yao Na yeye ndiye anayetupambia makala ya Mwanamke Juma hii