4,811 views
Duration: 1:35
#ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews
🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub
Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond.
Mahakama ya Kisumu mapema leo imeagiza mwanamke aliyemchoma mwanawe hadi kufa katika eneo la Seme, kaunti ya Kisumu, afanyiwe vipimo vya akili kabla ya kujibu mashtaka ya mauaji yanayomkabili. Jacinta Akinyi mwenye umri wa miaka 47 alifikishwa mbele ya Hakimu Getrude Serem, ambako alitarajiwa kusomewa mashtaka ya mauaji ya mtoto wake mwenye umri wa miaka 12, lakini hatua hiyo haikufanyika baada ya upande wa mashtaka kuridhia agizo la uchunguzi wa akili. Mshukiwa ameomba ruhusa kuhudhuria mazishi ya mtoto wake, uamuzi ambao utatolewa kesho. Kesi hiyo itasikilizwa tarehe 21 Novemba, huku Jacinta akizuiliwa katika gereza la wanawake la Kisumu.
Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos:
https://www.youtube.com/ktnnewskenya
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe
Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews
Like us on http://www.facebook.com/ktnnews