Mwanamume afariki baada ya kuanguka na kuzama kwenye mto kipkaren eneo la Chekalini

  • | West TV
    60 views
    Mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka thelathini aliaga dunia baada ya kuzama kwenye mto kipkaren eneo la mwivona wadi ya chekalini kaunti ndogo ya lugari