Mwanamume akamatwa Likuyani kwa kuwatapeli wakazi kuwa ni Naibu wa Chifu

  • | West TV
    53 views
    Mwanamume ametiwa mbaroni baada ya kuwatapeli wakazi wa kata za soy na seregea katika eneo bunge la likuyani kwa muda mrefu huku akidaiwa kuwawekea sahihi kwenye sitakabadhi mbali mbali na kuwaitisha pesa kwa kujidai kuwa naibu chifu