Skip to main content
Skip to main content

Mwanamume amuua mtoto wa miaka 10 kwa madai ya kumnajisi bintiye wa miaka miwili

  • | KBC Video
    2,114 views
    Duration: 1:44
    Wakaazi wa kijiji cha Mungakha eneo bunge la Navakholo kaunti ya Kakamega wameteketeza nyumba nane za mwanamume anayedaiwa kumuua mtoto wa miaka 10. Mwanaume huyo anasemekana kufanya kitendo hicho baada ya mvulana huyo kudaiwa kumnajisi bintiye wa miaka miwili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive