Skip to main content
Skip to main content

Mwanamume atafutwa baada ya kudaiwa kumuua mkewe Kakamega

  • | Citizen TV
    2,209 views
    Duration: 2:13
    Maafisa wa polisi Kakamega wanamsaka mwanaume mmoja kwa jina Kassim Asman ambaye anadaiwa kumpiga mkewe hadi kufa kutokana na mzozo wa shilingi 5,400 kabla ya kuusafirisha mwili wake wakiwa na mwenzake kwa pikipiki hadi katika hospitali ya rufaa ya Kakamega na hatimaye kuupeleka katika makafani na kisha kutoweka.