Skip to main content
Skip to main content

Mwanamume wa miaka 41 alidungwa kisu Jericho

  • | Citizen TV
    10,501 views
    Duration: 2:49
    Polisi eneo la Buruburu wanachunguza mauaji ya mwanamume wa miaka 41 katika mtaa wa Uhuru huko Buruburu, anayedaiwa kuuwawa kw akudungw akisu na msichana mmoja wa umri wa miaka 17. Kwa mujibu wa walioshuhudia, marahemu alifika nyumbani kwa mpwa wake, ambaye anaishi na msichana huyo, kutatua ugomvi wa kinyumbani. na kama anavyoarifu Ben Kirui, mshichana huyo anadaiw akumdunga kisu shingoni na kumuua.