Mwananchi ahoji serikali kutozungumza na M23 italeta suluhu ya kudumu
Wakati Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi akisisitiza ombi lake kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa la kuwekewa vikwazo wale wote wanaohusika na uhalifu wa kivita na dhidi ya ubinadamu katika hotuba yake aliyoitoa Jumatano kwenye Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la UN, New York Marekani. Na pia akiridhia vikwazo ambavyo vimewekwa dhidi ya Rwanda kwa kukiunga mkono kikundi cha magaidi cha M23, bado wananchi wa Congo wanasema wanamtaka atafute suluhu na mwenzake Rais Paul Kagame wa Rwanda. Sikiliza mahojiano kamili…
Picha na mahojiano na mwandishi wa VOA Austere Malivika, DRC
#un #unga #kikaocha79 #paulkagame #felixtshisekedi #wananchi #drc #vita #voa #voaswahili #suluhu
4 Aug 2025
- The warning comes amid complaints from Kenyans.
4 Aug 2025
- Harambee Stars secured their first-ever victory at CHAN on Sunday.
4 Aug 2025
- The pair was charged a day after their arrest.
5 Aug 2025
- Enquiries revealed that two plots were used as collateral to acquire a loan on which the borrowers defaulted.
5 Aug 2025
- Education Cabinet Secretary Julius Ogamba finds himself increasingly sidelined by his own Principal Secretaries.
5 Aug 2025
- Why US ballooning public debt is a key concern for Kenya
5 Aug 2025
- Nairobi Expressway contractor to shoulder Sh6.9b tax bill
5 Aug 2025
- Court spells the end of Isiolo's 60-year-old bar, a relic of 'choma'
5 Aug 2025
- Kebs deal with Japanese firm for car inspections under scrutiny
5 Aug 2025
- Why civil society wants Hustler Fund scrapped
5 Aug 2025
- Will Kenya Kwanza's scorecard be enough to win Ruto a second term?
5 Aug 2025
- Kenyan athletes focused on Tokyo Worlds despite Chan fever
5 Aug 2025
- Varsities VCs protest course fee cuts as debts soar to Sh85 billion