Mwanariadha Ferdinand Omanyala yuko njiani kuelekea Oregon, Marekani

  • | Citizen TV
    1,988 views

    Mwanariadha Ferdinand Omanyala yuko njiani kuelekea Oregon, Marekani Hii ni baada ya kupata vyeti vya usafiri vya Marekani na Uingereza Omanyala alifanikishwa kusafiri baada ya waziri Amina Mohammed kuingilia kati Waziri huyo na katibu wake walizungumza na mabalozi wa Marekani na Uingereza Omanyala asema safari ndefu kuelekea Marekani haitadhuru matayarisho yake AK imewasilisha ombi Omanyala ashiriki mbio za 100m pekee akichelewa Kisha ataelekea Birmingham Uingereza kwa mashindano ya Jumuia ya Madola