Mwanasheria mkuu aidhinisha mswada wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu

  • | KBC Video
    125 views

    Mwanasheria mkuu Justin Muturi ameidhinisha mswada wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu akisema unaangazia masuala yaliyoibuliwa na mahakama. Hata hivyo, akiwa mbele ya kamati ya bunge kuhusu ujenzi na mipango ya miji, Muturi alishauri bunge la taifa kuhakikisha mswada huo unafikishwa katika bunge la Senate kwani masuala yaliyoibuliwa yanahusu kaunti. Alipokuwa akiwasilisha mswada huo bungeni mwaka jana, kiongozi wa wengi katika bunge la taifa alisema mswada huo hautahitaji maoni ya maseneta.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive