Mwanasheria mkuu Justin Muturi akagua miti iliyopandwa Kajiado

  • | Citizen TV
    451 views

    Kama Njia Moja Ya Kupiga Jeki Wanamazingira Kutoka Kona Baridi Katika Eneo Bunge La Kajiado Magharibi ,Mwanasheria Mkuu Justin Muturi Ameeleza Kuwa Kuna Umuhimu Wa Wanamazingira Hao Kuwa Na Vitalu Vya Miche , Ili Wajichumie Riziki.