Mwanaume adaiwa kumuua mpenzi wake na kuzika mwili shambani eneo la Butere

  • | Citizen TV
    2,799 views

    Wakaazi wa kijiji cha Bushieni eneo bunge la Butere kaunti ya Kakamega wamepigwa na butwaa baada ya jamaa mmoja kudaiwa kumuuwa mpenziwe na kumzika kwenye shamba la miwa.