- 2,714 viewsDuration: 1:23Mwanaume mmoja kutoka sehemu ya Ngomeni, Mwingi Kaskazini anauguza majeraha ya kuumwa na nyoka kwenye sehemu zake za Siri. Bernard Kyalo, mwenye umri wa myaka 26 anasema alikuwa msalani, nyumbani kwake pale alipoumwa na nyoka aina ya swila yaani cobra . Mwathiriwa amelitaka shirika la huduma kwa wanyamapori kws kumlipa fidia.