Mwandishi wa BBC akatisha ripoti yake baada ya milipuko kutokea Kyiv

  • | BBC Swahili
    2,923 views
    Mwandishi wa BBC Hugo Bachega akiwa mjini Kyiv alikuwa akitoa ripoti ya moja kwa moja ya habari ya televisheni wakati milipuko kadhaa ilipotikisa katikati mwa mji mkuu wa Ukraine na kumfanya anyamaze huku makombora ya Urusi yakipiga. Baadaye mwandishi huyo na wapiga picha walielekea katika makazi ya chini ya ardhi na kuwasiliana tena na BBC. #bbcswahili #ukraine #kyiv