Mwathiriwa wa maandamano ya Sabasaba afariki baada ya damu kukosa kuganda

  • | KBC Video
    28 views

    Mwanafunzi wa umri wa miaka 23 anayedaiwa kupigwa risasi na polisi wakati wa maandamano ya saba saba, alifariki baada ya kuvuja damu kupita kiasi baada ya kupigwa risasi ngonyani. Kulingana na ripoti ya uchunguzi wa maiti, mishipa mingi ya James Gachara ilivuja damu kupita kiasi wakati wa tukio hilo. Madaktari walikuwa wamefanya kila jitihada kuokoa maisha yake baada ya kupigwa risasi, ila alifariki chini ya saa 24.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive