MWENGE WA KAUNTI: Hali ya Afya Nchini [Part 2]

  • | Citizen TV
    246 views

    Tunaaangazia masuala ya afya katika kaunti za taifa hili. Huduma za afya, matibabu ziko chini ya serikali za kaunti. Je, wananchi wanapokea huduma za afya wanazotafuta? Serikali za kaunti zilitatizika awali kutoa huduma bora Kuanzia mwaka wa 2013 kaunti zimejenga hospitali kuu Kliniki na zahanati pia zimejengwa katika kaunti tofauti #Afya #Kaunti