Skip to main content
Skip to main content

Mwenge wa Kaunti | Mipango ya urithi [Part 4]

  • | Citizen TV
    384 views
    Duration: 6:29
    Mara nyingi watu wanapofariki, migogoro ya mali hutokea Baadhi ya jamaa hurithi mali ya marehemu na kusahau watoto wake Urithi huzozaniwa mno katika ndoa za mitala (polygamous) Je, wakenya hujitayarisha vipi kwa maisha baada ya kifo?