22 Sep 2025 1:17 pm | Citizen TV 87 views Mwenyekiti wa Royal Media Services na mwenye hisa mkuu wa kampuni ya bima ya Directline Daktari S.K. Macharia ameteua maafisa wapya watakaosimamia oparesheni katika kampuni ya Directline.