- 252 viewsDuration: 1:00Mwenyekiti wa bodi ya Sukari humu nchini Nicholas Gumbo amewahakikishia wakulima wa miwa kuwa serikali imejitolea kuboresha sekta ya sukari akisema kuwa ukodishaji unaofanywa na serikali ndio uamuzi bora zaidi katika sekta hiyo......