Skip to main content
Skip to main content

Mwenyekiti wa EACC Dr. David Oginde ashiriki na asasi mbalimbali kupambana na ufisadi

  • | Citizen TV
    236 views
    Duration: 2:31
    Mwenyekiti wa EACC, Dr. David Oginde amesisitizia ushirikiano kati ya asasi za kupambana na ufisadi ili kufanikisha kesi zinazowasilishwa kortini. Akizungumza kwenye kikao cha kilichoandaliwa na chama cha wahasibu ICPAK, Oginde ametoa wito kwa wakenya kuwa mstari wa mbele kupiga vita ufisadi. Naibu mkaguzi wa hesabu za serikali alitilia mkazo mchango wa wananchi kwenye vita hivyo.