Mwenyekiti wa kandanda Mombasa Alamin Abdallah aanza kukuza vipaji mashinani

  • | NTV Video
    84 views

    Mwenyekiti wa shirikisho la kandanda humu nchini katika kaunti ya Mombasa Alamin Ahmed Abdallah tayari ameanza kukuza vipaji mashinani miezi saba tu tangu kushinda uchaguzi mkuu uliopita.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya