Mwili wa afisa wa Magereza umepatikana ukiwa umeanza kuoza chumbani Mwake Kitale

  • | West TV
    300 views
    Mwili uliokuwa umeoza wa afisa mmoja wa magereza umepatikana kwenye nyumba moja ya kukodi katika kijiji cha tumaini wadi ya matisi eneo bunge la sabaoti kwenye kisa ambacho kimewaacha wenyeji vinywa wazi