Skip to main content
Skip to main content

Mwili wa kijana aliyeuawa wakati wa mazishi ya marehemu Raila Odinga ,Kasarani umetambuliwa

  • | Citizen TV
    4,737 views
    Duration: 2:21
    Siku tano baada ya kufariki kwa watu kadhaa wakati wa mazishi ya marehemu hayati Raila Odinga, mwili wa kijana aliyekuwa hajatambulika hatimaye ametambulika kama Michael Okoth Okumu, kijana wa miaka 23 kutoka mtaa wa Kibra. Uchunguzi baada ya upasuaji ukibaini kuwa Okoth alifariki kwa kukosa hewa na majeraha kadhaa kichani