Mwili wa mwanamke watupwa kwenye kijito Embu

  • | KBC Video
    18 views

    Maafisa wa polisi katika eneo la Mbeere Kusini, kaunti ya Embu wameanzisha uchunguzi kuhusiana na kifo cha mwanamke mmoja ambaye mwili wake ulipatikana umetupa kwenye kijito karibu na shamba lake katika kijiji cha Mugaari kata ya Mutuovare. Mwili wa mwanamke huyo aliyetambiliwa kama Jane Mwende mwenye umri wa miaka 44 umepelekwa kwenye chumba cha kuhifadhi maiti cha hospitali ya Embu Level 5 kusubiria uchunguzi. Inakisiwa kuwa mwanamke huyo aliuawa na mpenziwe aliyekuwa na ugomvi naye.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive