'Mwili wangu ulikuwa unakataa tu’- Daktari aliyeambukizwa ebola

  • | BBC Swahili
    394 views
    Uganda kwa sasa inakabiliana na mlipuko wa moja ya magonjwa hatari zaidi duniani - Ebola. Je nini unahitaji kujua kuhusu virusi, ikiwa ni pamoja na dalili, jinsi watu wanavyoambukizwa na jinsi ya kuzuia maambukizi. Daktari huyu aliyeambukizwa ebola anaelezea #bbcswahili #uganda #ebola