Mzawa wa Marekani kuliambia kongamano la maji UN alivyookoa mto wao

  • | VOA Swahili
    182 views
    Wajumbe kutoka sehemu mbali mbali za dunia watapokutana kwenye Umoja wa mataifa kuzungumzia suala la maji, Brook Thompson atakuwa miongoni mwao, akielezea hadithi ya juhudi za kabila lake kuokoa mto wao. Mto Klamath, unaomwaga maji kutoka Oregon hadi pwani ya California, umesaidia maisha ya binadamu kwazaidi ya miaka elfu moja. Watu wa Yurok na makabila mengine yanayoishi kando ya ukingo wake kwa zaidi ya miaka elfu moja wametegemea mto wa Klamath kama chanzo kikubwa cha mojawapo ya vyakula bora zaidi vya asili: samaki aina ya Salmon. #marekani #kongamano #maji #un #mto #umojawamataifa #brookthompson #kabila #mtoklamath #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.