Mzee James Chepkwony kutoka Kericho ashinda bonsai ya Shabiki Supa Jackpot juma hili

  • | Citizen TV
    467 views

    Mzee James Chepkwony kutoka kaunti ya Kericho ndiye mshindi wa bonasi ya Shabiki Supa Jackpot juma hili. Mzee huyu wa miaka 72 anasema kwamba alijichambulia mechi mwenyewe, na licha ya kulenga kitita cha shilingi milioni tano anasema kwamba ameridhika na ushindi wa bonasi ya shilingi 426,246, akisema kwamba hajakata tamaa na bado analenga zaidi ya shilingi milioni tano kwenye shindano hilo.