Mzozo wa Kenya na Tanzania waathiri wafanyibiashara wa Kenya huko Tanzania

  • | Citizen TV
    2,087 views

    Wafanyabiashara wa Kenya wanaofanya baishara katika mpaka na Tanzania sasa wanaitaka serikali hizi mbili kutatua mzozo kati yao wakisema umeathiri biashara zao.