Mzozo wa mpaka Kajiado

  • | Citizen TV
    317 views

    Kamishana wa Kaunti ya Kajiado James taari amaeagiza Pande Mbili zinazozozania mpaka wa Ilodokilani na matapato kukoma kuchukua sheria mikononi na badala yake wasubiri muda wa siku 60 uliotolewa na serikali kwa mzozo huo kutatuliwa.