Serikali yapania kufufua kilimo cha pamba na viwanda

  • | Citizen TV
    137 views

    Serikali imejizatiti kufufua sekta ya pamba na viwanda vya mavazi nchini kama kichocheo kikuu cha ukuaji wa uchumi.