Naibu Gachagua awaonya vijana dhidi ya makundi haramu

  • | K24 Video
    148 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua amewaomba vijana nchini kuepuka juhudi zozote zinazowashuritisha kujiunga na makundi yaliyopigwa marufuku, na ambayo yameonyesha ishara ya kurejea. Gachagua amezungumza nyumbani kwake mathira alipowaandalia vijana zaidi ya elfu nane karamu ya krisimasi, ambapo ameeleza kuridhishwa kwake na vita dhidi ya dawa za kulevya na pombe haramu eneo la kati.