Naibu Gavana wa Meru aitaka serikali kutafuta masoko zaidi

  • | Citizen TV
    139 views

    Huku zao la miraa likiendelea kukumbwa na Changamoto za ukulima na uuzaji, Naibu gavana wa Meru Isaac Mutuma M'Ethingia ameomba Serikali kuweka Mikakati zaidi hasa ya Kutafuta masoko zaidi nje ya Nchi