Skip to main content
Skip to main content

Naibu inspekta Generali Masengeli asema wahalifu wanasakwa huko Meru

  • | Citizen TV
    294 views
    Naibu Inspekta Mkuu wa Polisi, Gilbert Masengeli, amewahakikishia wafugaji kutoka kaunti ya Meru, kuwa usalama wao umeimarishwa licha ya baadhi ya maafisa waliokuwa wakilinda maeneo hayo kuwa kwenye mafunzo, na uvamizi wa wafugaji mara kwa mara.