Naibu inspekta jenerali Lagat afika mbele ya IPOA

  • | Citizen TV
    4,936 views

    Naibu Inspekta Jenerali wa polisi anayekumbwa na utata Eliud Lagat jana aliandikisha taarifa na maafisa wa uchunguzi kutoka halmashauri ya utendakazi wa polisi IPOA, kuhusiana na mauaji ya mwanablogu Albert Ojwang.