Naibu kamishna wa Dif adaiwa kukosa kuingia ofisini

  • | Citizen TV
    114 views

    Wakazi wa Kaunti Ndogo ya Diif, katika Eneo Bunge la Wajir Kusini, wameelezea wasiwasi wao kuhusu utoaji duni wa huduma katika ofisi ya Naibu Kamishna wa Kaunti hiyo.