1 Oct 2025 1:39 pm | Citizen TV 9,766 views Duration: 1:22 Naibu Kinara wa chama cha DCP Cleophas Malala ameshutumu vikali madai ya katibu wa chama cha Jubilee Jeremiah Kioni kuwa anashirikiana na rais William Ruto kisiri.