Naibu Rais asema serikali imejitolea kuimarisha uzalishaji mazao ili kuboresha uchumi

  • | KBC Video
    33 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua ametoa wito kwa mabalozi walioteuliwa hivi majuzi kuangazia upanuzi wa soko la bidhaa za Kenya kwa ajili ya ustawi wa kiuchumi wa taifa hili. Naibu rais ambaye aliwaalika mabalozi hao katika makao yake rasmi mtaa wa Karen, jijini Nairobi alisema serikali imejitolea kuimarisha uzalishaji mazao pamoja na kutekeleza mabadiliko katika sekta muhimu ili kuboresha uchumi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News