Naibu Rais atetea ukodishaji wa viwanda vya sukari

  • | Citizen TV
    1,108 views

    Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki amesema kuwa serikali inaweka juhudi za kuimarisha sekta ya sukari, akitaja ukodishaji wa viwanda kama mbinu ya kuhakikisha kampuni za sukari hazifungwi.