Naibu rais atoa wito kwa viongozi wa dini kuunga mkono udhibiti wa makanisa nchini

  • | K24 Video
    20 views

    Wito umetolewa kwa viongozi wa dini kuunga mkono mpango wa serikali wa kutathmini upya sheria zinazotoa mwongozo kwa mashirika mbalimbali ya kidini. Naibu rais Rigathi Gachagua amepinga kukashifiwa kwa jumla kwa makanisa kufuatia mkasa wa shakahola huko kilifi. Amesisitiza haja ya sheria au hatua za kinidhamu kuchukuliwa dhidi ya wanaotumia dini kulaghai wakenya na kusababisha maafa