Naibu rais Gachagua apuuza njama ya kutaka kubanduliwa

  • | Citizen TV
    7,259 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amevunja kimya chake kuhusu madai kwamba kuna njama ya kumtimua mamlakani akisema yuko tayari kwa makabiliano hayo yatakapokuja. Akizungumza katika mahojiano na vituo vya habari vya lugha ya kikuyu jana usiku, gachagua alisema hatajiuzulu licha ya madai kwamba anamhujumu rais William Ruto.