Naibu rais Gachagua asema amekubalika eneo la nyanza baada ya ziara yake na rais William Ruto

  • | K24 Video
    675 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua sasa anasema amekubalika eneo la nyanza baada ya ziara yake na rais William Ruto kukamilika. Rigathi amesema kuwa eneo la mlima kenya liko tayari kufanya kazi na nyanza huku akimuondolea rais mstaaafu Uhuru Kenyatta lawama ya kuunga mkono Raila Odinga na kudai kuwa odinga sio mbaya kama vile jamii ya mlima ilivyoelezwa. Rigathi amemshutumu kiongozi wa wengi bungeni kimani ichungwa kwa kudai kuwa viongozi wa mlima kenya hawajafurahia serikali ya rais ruto licha ya nyadhfa kadhaa waliopewa